Mkurugenzi wa fedha wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania Kalpesh Mehta(wa kwanza kushoto) na mkurugenzi wa dawati la ufundi wa shirikisho la soka Tanzania Bw.Sunday Kayuni(wa pili kulia) wakifunua kombe la ligi kuu ya uingereza katika hafla iliyoandaliwa na kampuni yaAirtel kwa wateja wake kuweza kushuhudia kombe la ligi kuu ya uingereza ambalo limeletwa na timu ya manchester united kushirikiana na airtel nchini Tanzania, pamoja nao wa kwanza kulia ni Quinton Fortune mchezaji wa zamani wa Manchester United na wa pili kutoka kushoto ni mchezaji wa zamani wa timu ya Manchester United Gary Bailey ,hafla hiyo imefanyika katika hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam mwisho wa wikiendi hii.
****
More than 200 customers to witness the trophy and two club legends in Dar es Salaam Airtel Tanzania in partnership with Manchester United have provided yet another unforgettable experience to Airtel customers and soccer fans in an event that featured the Premier League Trophy and two former Red Devils.
Airtel awarded more than 200 customers from Dar es Salaam a chance to witness the trophy in the function that was held at Hyatt Hotel Dar es Salaam on Saturday the 7th of April 2012. During the event customers had the opportunity to take memorable photographs with the trophy, meet and greet Manchester united Legends, exchange views and understand the intricacies behind the success of the league champions.
Manchester United legends, the former Manchester United central midfielder Quinton Fortune and ex Man Utd No. 1 Gary Bailey were able to share their views on what is behind such success.
Speaking on behalf of Airtel Finance Director Kalpesh Mehta said; “We are happy to have our customers to witness the trophy in the country. This is yet another opportunity for soccer fans to enjoy and have a great moment with Manchester United legends and to share deep Soccer experiences from across the globe.”
He added “This follows the highly successful launch last year of the inaugural Airtel Rising Stars whereby we worked with Manchester United Soccer Schools and also we had the privileges of the visits other Manchester United Soccer Legends, Andy Cole and Bryan Robson” The trophy has been brought to Tanzania as part of the DHL Cham19ns Trophy Tour.
The 19th league title was a special achievement for everyone at the club, becoming the most successful team in English league history. Thanks to DHL the trophy will visit 27 different countries; already it has been to India, Thailand and the Middle East and is due to continue onto South East Asia and Europe. Manchester United is keen to engage pro-actively with their 333 million fans
across the globe and events such as those today and Airtel Rising Stars are testament to this.
across the globe and events such as those today and Airtel Rising Stars are testament to this.
Mkurugenzi wa fedha wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania Kalpesh Mehta(wa kwanza kushoto) na mkurugenzi wa dawati la ufundi wa shirikisho la soka Tanzania Bw.Sunday Kayuni(wa pili kulia) wakifurahia kombe la ligi kuu ya uingereza katika hafla iliyoandaliwa na kampuni yaAirtel kwa wateja wake kuweza kushuhudia kushuhudia kombe la ligi kuu ya uingereza ambalo limeletwa na timu ya manchester united kushirikiana na Airtel nchini Tanzania,pamoja nao wa kwanza kulia ni Quint Fortune Quinton Fortune mchezaji wa zamani wa Manchester United na wa pili kutoka kushoto ni mchezaji wa zamani wa timu ya Manchester United Gary Bailey ,hafla hiyo imefanyika katika hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam mwishoni wa wikiendi hii.
Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari za michezo Tanzania Bw,Juma Pinto na mshabiki mkubwa wa timu ya Liverpool akiwa amevalia jezi ya Manchester United mara baada ya kukabidhiwa jezi hiyo na wachezaji wa zamani wa timu ya Manchester united katika hafla fupi iliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kuwawezesha wateja wake kushuhudia kombe la ligi kuu ya uingereza ambalo limeletwa na timu ya Manchester united kushirikiana na Airtel nchini Tanzania, kulia ni mchezaj wa zamani wa timu ya Manchester united Quinton Fortune na kushoto mchezaji wa zamani wa timu hiyo Gary Bailey,hafla hiyo imefanyika katika hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam mwisho wa wikiendi hii.
Waandishi wa habari za michezo wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na kombe la ligi kuu ya uingereza katika hafla fupi iliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kuwawezesha wateja wake kushuhudia kombe la ligi kuu ya uingereza ambalo limeletwa na timu ya Manchester united kushirikiana na Airtel nchini Tanzania,hafla hiyo imefanyika katika hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam mwisho wa wikiendi hii.
No comments:
Post a Comment