March 27, 2012

WAZIRI MKUU AKUTANA NA VIONGOZI WA KOREA LOGODI NA KAMPUNI YA MAFUTA TOKA UJERUMANI

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi wa Taasisi ya Serikali za Mitaa cha Korea (Local Government Development Institute - LOGODI), Ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 27,2012. Kushoto ni Balozi wa Korea ya  nchini,  Young hoon Kim na kulia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi  ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Aggrey Mwanry.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza Rais wa Kampuni ya utafiti wa mafuta ya  Europe and Africa Schlumberger Seaco Inc ya Ujerumani, Bw. Sherif Foda (wapili kushoto)  na ujumbe wake, ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 27,2012.

No comments:

Post a Comment