March 29, 2012

WANAFUNZI WA SHAHADA YA KWANZA YA SOSHOLOJIA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) WALIVYOSHIRIKI BONANZA LILILOFANYIKA MWISHONI MWA NDANI YA UDOM

Hiki ndio Kikosi cha Wanafunzi wa Mwaka wa 2 wanaosomea shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM) ambacho Kilipambana na Kikosi Cha Mwaka wa 3 ambao wanasomea Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Katika Bonanza lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Hiki ndio Kikosi Cha timu ya Wanafunzi wa Mwaka wa 3 wanaosomea Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Wakiwa katika Dua kabla ya mechi dhidi ya wanafunzi wa kozi hiyo katika bonanza lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Chuoni hapo.Picha zaidi na Josephat Lukaza Wa http://josephatlukaza.blogspot.com

No comments:

Post a Comment