SIOI AFANYA KAMPENI KATA YA NGWARANGA
Mgombea wa CCM Sioi Sumari akihutubia wananchi alipowasili kata ya Ngwaranga kwa ajili ya mkutano wa kampeni jimboni humo, jana
Mgombea wa CCM Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari na Mratibu wa kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba wakisalimia wananchi walipowasili kata ya Ngwaranga kwa ajili ya mkutano wa kampeni jimboni humo, jana
gombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akishauriwa jambo na Mbunge wa Hanang, Mary Nagu wakati wa mkutano wa kampeni za CCM katika kata ya Ngwaranga, jimboni humo, jana. Katikati ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Asha Abdallah Juma.
Wananchi wakiulaki kwa shamrashamra msafara wa Sioi kijiji cha Ngwaranga
No comments:
Post a Comment