Kina mama wakimbeba Sioi baada ya kuhutubia mkutano wa kapeni kijiji cha Mulala kata ya Songoro jimbo la Arumeru Mashariki.
Wazee wa Songoro wakifuatilia kwa makini hotuba ya mgomea wa CCM
Asiera Jacob mwenye umri wa miaka 78 wa Kijiji cha Sura kata ya Songoro, akifuatilia kwa makini hotuba katika mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea wa CCM Sioi Sumari kwenye kijiji hicho jana.
. Mfugaji katika kata ya Songoro ambaye jina halikupatikana mara moja akishangilia CCM wakati
msafara wa mgombea wa chama hicho Sioi Sumari ulipopita katika kata hiyo.
No comments:
Post a Comment