Leo ndio leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam pale Simba inapokutana na ES Setif kutoka Algeria katika michezo wa Kombe la Shirikisho. Simba inarekodi nzuri ya kuwafunga warabu hao kutoka Algeria. Hadi sasa inarekodi ya 3-0.
Hili niku la wanachama wa Simba kutoka Makao Makuu wanajiita "SIMBA SPORTS CLUBMAKAO MAKUU TAWI LA MAENDELEO" Hapa ni nje ya uwanja wa taifa kabla ya kuingia uwanjani.
![](http://2.bp.blogspot.com/-_LW4FHS9gCU/T28Lr9NF0DI/AAAAAAAARtA/umEG5nNvAdg/s280/3.jpg)
Wewe....nini picha zote hizo..!!!Hapa akimkoromea mpigapicha kwanini anampiga picha nyingi....hahaha alipogundua ni Father Kidevu akabaki anacheka.
Mashabiki wakiwa tayari uwanjani kwa utulivu mkubwa wakisubiri game kuanza na mnyama kumrarua mwarabu. Father Kidevu Blog ipo Live kukurushia mtanange huu wa Simba na ES Setif kutoka Algeria.
No comments:
Post a Comment