March 30, 2012

PINDA AKUTANA NA MABALOZI WA VATICAN NA UHOLANZI NCHINI

 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akizungumza na Balozi wa  Uholanzi nchini, Dk. AD Koekkoek ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 30, 2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimianana Balozi wa Vatican nchini, Montecillo Padilla kabla ya mazungumzo, ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 30,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Vatican chini, Montecillo Padilla, ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 30,2012.

No comments:

Post a Comment