March 26, 2012

Mwakilishi wa UNHCR amuaga rasmi Pinda

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago Mwakilishi mkazi wa shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), BW Oluseyi Bajulaye ambaye alikwenda ofisini kwa Wziri mkuu kuaga.

No comments:

Post a Comment