KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
March 25, 2012
MKUTANO WA CCM WATIKISA NGOME YA CHADEMA MAJI YA CHAI
Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akiumba kura kwa wananchi waliofurika kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Maji ya Chai jimboni humo, jana. eneo hilo linadaiwa kuwa ndiyo ngome ya CHADEMA.
Mratibu wa kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba akimnadi Sioi Sumari kwenye mkutano huo.
Wafuasi wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano huo.
Mwimbaji wa Kundi la Tanzania One Theatre (TOT) Khadija Kopa akihamasisha kwa wimbo wakati wa mkutano huo Maji ya Chai
Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde 'akiwachana' CHADEMA kwenye mkutano uliofanyika Maji ya Chai ambako inasemekana ni ngome ya chama hicho
No comments:
Post a Comment