KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
March 26, 2012
MKUTANO WA CCM JIONI HII ARUMERU
Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari (kulia) akiwa amezongwa na wananchi baada ya mkitano wa kampeni uliofanyika kijiji cha Lekitatu kata ya Usa River leo.
No comments:
Post a Comment