March 28, 2012

Maji safi na Salama Arumeru Mashariki


Licha ya jimbo la Arumneru Mashariki kuwa na tatizo la maji katika baadhi ya maeneo, yapo maeneo mengine ambako serikali imeweza kuwafikishia wananchi maji ya bomba karibu na makazi yao. Pichani, juu ni   Mwananchi akinywa maji kwenye bomba la maji safi katika kijiji cha Olkung'wado, baada ya kushikwa kiu na chini wanafunzi wakichota maji kwenye bomba la maji safi lililopo kijiji cha Sing'isi. Maji haya ni saf kwakuwa yanawekwa dauyatibu na vijidudu mara kwa mara.

No comments:

Post a Comment