March 21, 2012

Biashara ya Uyoga Irin

 Uyoga ni sehemu ya kuvu inayotokea juu ya ardhi na kukuza vibufu vinavyofanana na mbegu ya mimea. Uyoga mara nyingi huitwa mimea lakini si mimea ni sehemu ndogo ya kuvu au fungi.Uyoga ni miongoni mwa vyakula ambavyohuliwa na binadamu na huwa na vitamini nyingi. Picha hii inaonesha uyoga uliyovunwa na sasa unauzwa kwa walaji.
Wateja wakiwa wamemzunguka Mkazi wa Iringa aliyekuwa akiuza bidhaa hiyo. Kipimo cha bakuli ndogo kiliuzwa kwa sh 500/=.

No comments:

Post a Comment