January 02, 2012

SHEREHE ZA MWAKA MPYA NCHINI ZIMBABWE

 Mhe. Balozi Adadi akishereheka na watanzania.
  Mhe. Balozi Adadi akiteta jambo na wageni wake ambao ni Balozi wa Malawi na Balozi wa Ethiopia.

Watanzania na waalikwa wengine wakipata chakula sambamba na kuukaribisha mwaka mpya.

No comments:

Post a Comment