December 29, 2011

Salamu za New Year toka kwa Mdau Mgonja Arusha

Mdau Julius Onesmo Mgonja wa Arusha anapenda kuwapa salamu za Heri ya Mwaka Mpya Ndugu zake wote kutoka Kisiwani -Same Mkoani Kilimanjar, marafiki zake wote wa Arusha na wadau wa Blogu hii.
Mungu wa awajalie afya njema, Amani na Upendo katika mwaka wa 2012.

No comments:

Post a Comment