December 04, 2011

Mtunisi: Wasanii tuwape msaada watu wenye uhitaji maalum

Msanii Mohamedi Nice 'Mtunisi' akiwambia wanafunzi viziwi wa shule ya msingi Buguruni jijini Dar es salaam wakae kwa mstari kwa ajili ya kuwagawia bisckuti na juisi alizowapelekea kama zawadi kwa watoto hao leo.Mohamedi Nice 'Mtunisi' akimkabidhi box kwa mwanafunzi wa buguruni viziwa, Chacha Mwita kwa niaba ya wanafunzi wenzake leo.
Mohamed Nice 'Mtunisi' akiwaaaga wanafunzi wa shule ya Buguruni Viziwi Baada ya kuwazawadia zawadi za juisi na biscuti leo

No comments:

Post a Comment