December 30, 2011

JK aongoza mazishi ya halima Mchuka

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akiungana na viongozi wa msikiti wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na wakazi wa jiji la Dar es salaam kuuombea dua mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa  Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)  marehemu Halima Mchuka aliyefariki tarehe 29 Desemba mwaka huu jijini Dar es salaam.
 Waombolezaji.
 Rais Kikwete akisalimina na Mkurugenzi wa TBC Clement Mshana na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Mr Hokororo.
Rais Jakaya Kikwete  akiwafariji  ndugu na watoto wa aliyekuwa mtangazaji wa  Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)  marehemu Halima Mchuka mara baada ya kuwasili katika hospitali ya Taifa Muhimbili leo jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment