KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
December 31, 2011
JK akutana na Katibu Mkuu Kiongozi
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Mh Philemon Luhanjo (kulia) na Katibu Mkuu kiongozi mteule Balozi Ombeni Sefue ofisini kwake Ikulu Dar es salaam (jana) Ijumaa usiku mara baada ya kufanya uteuzi huo.
No comments:
Post a Comment