November 03, 2011

Pinda akutana na Boss mpya wa Vodacom

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Kampuni ya simu za Mikononi ya VODACOM_Bw. Rene Meza kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 3, 2011  Katikati ni Ofisa Mkuu wa VODACOM TANZANIA, Mwamvita Makamba.

No comments:

Post a Comment