October 31, 2011

Miss Tanzania katika vazi la ufukweni Miss World 2011

Miss Tanzania 2011, Salha  Israel KIFAI (kushoto) akiwa na warembo wenzake Miss Thailand, Patcharida BLATCHFORD (katikati) na Miss Turkey, Gizem KARACA,wakati wa nusu fainali ya kumsaka Top Model 2011,ikiwa ni sehemu ya shindano la Miss World linalotaraji kufanyika Novemba 6, 2011 jijini London Uingereza.

1 comment: