KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
October 25, 2011
Miss Tanzania 2011 katika Sports Final at Miss World 2011
Miss Tanzania 2011, Salha Izraeli (track ya pink) akiwa katika picha mbalimbali wakati wa fainali za kumsaka mrembo mwenye kipaji cha michezo ndani ya Kambi ya Miss World jijini London Uingereza.
kila la heri miss wetu
ReplyDelete