KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
August 10, 2011
Waziri Mkuu afutarisha Morogoro
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri na Mbunge Mstaafu Mstaafu ,, DrJuma Ngasongwa (kushoto) na Inspekta Jenerali wa Polisi Mstaafu, Omar Mahita wakati alipofutarisha kwenye ikulu ndogo ya Morogoro Augost 7,2011.
No comments:
Post a Comment