Evans Bukuku akifanya vitu vyake na kuwavinja watu mbavu ... jamaa ni mkali.
Ebwana ni full kucheka ukija katika show ya Evance hakika unasahau shida zako na gazabu zote za dunia ikiwa ni pamoja na kukatika kwa umeme mara kwa mara.
Watu waliohudhuria wakifuatilia vichekesho vya Evans Bukuku.
No comments:
Post a Comment