KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
August 08, 2011
Rais wa Zanzibar ahitimisha Maonesho ya nane nane
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akikamata ndizi aina ya Fia ambayo inatoa mazao kwa muda wa miezi Tisa na asili yake Mkoa wa Mbeya, katika maonesho ya mazao ya kilimo, nane nane huko Dodoma leo Agosti 8,2011.ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo alipotembelea sehemu mbali mbali katika maonesho ya kilimo nane nane huko DodomaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiwahutubi wananchi katika kilele cha sherehe za wakulima nane nane huko Dodoma.Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiwahutubi wananchi hao katika kilele cha sherehe za wakulima nane nane huko Dodoma




No comments:
Post a Comment