Nape akionyeshwa na Ruge Studio za Clouds Tv zilivyo za kisasa
Cathbert Kajauna mtayarishaji wa jarida la Kita Ngoma linaloandaliwa na kampuni hiyo,akimkabidhi Nape nakala ya jarida hilo alipoingia katika ofisi za utayarishaji wa jarida hilo ambalo ni miongoni mwa majarida yanayosisimua sana hapa nchini. Katikati ni Ruge
Mkurugenzi Mtendaji wa Cloud Media Group, Joseph Kusaga (kushoto) akisalimiana na Nape wakati wa ziara hiyo. Katikati ni Ruge.
Ruge akiagana na Nape mwishoni mwa ziara hiyo.
No comments:
Post a Comment