KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
August 05, 2011
Mifugo yashindanishwa Nane Nane Dodoma
Ngombe mwenye jina la Mkapa Nzagamba akiongozwa na mmiliki wake, Mashishanga kutoka Nkasi mkoani Rukwa katika mashindano ya mifugo Kitaifa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Nanenane, Nzuguni , Dodoma Augost 5, 2011. Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.Waziri Mkuu, MIzengo Pinda na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, David Mathayo David waktazama ngoma wa kisasa wa maziwa katika mashindano ya kitaifa ya mifugo yaliyofanyika kwenye uwanja wa Nanenane, Nzuguni Mjini Dodoma Augost 5, 2011. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, David mathayo David wakikagua ufugaji wa kuku wa nyama na mayai wa kisasa wakati walipotembelea banda la Balton Tanzania Limited kwenye maonyesho ya Nanenane, Nzuguni, Dodoma Augost 5, 2011.
No comments:
Post a Comment