August 03, 2011

Kutoka Mjengoni Dodoma

Mbunge wa Viti Maalum Anna Abdallah (kushoto)  akisalimiana na Mbunge wa Kahama, James Lembeli kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Augost 3,2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum , Mhandisi Stella Manyanya bungeni Mjini Dodoma Augost 3, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka Bungeni Mjini Dodoma Augost  3,  2011.

No comments:

Post a Comment