August 13, 2011

Kanda ya Kaskazini KAZI NI KWENI Vodacom Miss Tanzania wapo kwenu sasa

Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga picha katika daraja la mto Wami, Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini.
Baadhi ya warembo wanaowania taji la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipipicha huku wakiwa na  wenye furaha baada ya kuvuka mto Wami , Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakati wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utali wa ndani nchini.

5 comments:

  1. mrembo namba 29 GLORY LORI YUKO JUU SHE IS A TRUE DEFINITION OF BEAUTFUL

    ReplyDelete
  2. mrembo namba 29 GLORY LORI YUKO JUU SHE IS A TRUE DEFINITION OF BEAUTFUL

    ReplyDelete
  3. Mrembo Mariaclara Mathayo ni the best diva of them all. Shes gorgeous, smart and decent. Upo juu Mariaclara, this is your chance to shem them you got it all. Go girl!!

    ReplyDelete
  4. mrembo mariaclara ni funika bovu, wakati ni wako mamaa, taji ni lako hiloo hakuna wa kukuzidi hapoo. Big up sana!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. mariaclara upo juuuu............... Pendo wa musoma hapa

    ReplyDelete