August 05, 2011

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje yatembelea Bunge la India

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Edward Lowassa (katikati kulia) akiwa katika kikao cha pamoja na Wabunge wa Bunge la India wanaoongozwa na Spika wa Bunge lao, Lok Sabha . Tukio hili lilifanyika jana New Delhi India ambako kamati hiyo iko katika ziara ya kikazi.

Kabla ya kuhudhuria kikao cha Bunge la India jana Kamati hiyo ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ilitembelea nchi za Malaysia, Singapore.

No comments:

Post a Comment