July 28, 2011

"Wapiga kelele" Lema, Lisu na Msigwa watolewa nje ya Bunge

 Askari Polisi wa Bunge wakiwasindikiza wabunge wa CHADEMA Tundu Lissu (kulia)  Mchungaji Peter Msigwa (kushoto) na Godbless Lema (wa pili kushoto)  ili waondoke  nje ya viwanja vya Bunge mara baada ya Naibu Spika Job Ndugai (hayupo pichani) kuwaamuru watoke ndani ya Bunge  leo  baada ya wabunge hao kuvunja kanuni za Bunge za kuongea bila ruhusa ya Naibu Spika. Wa pili kulia ni Mbunge wa jimbo la Ubungo John Mnyika akiwasindikiza wabunge wenzake.
Wabunge wa CHADEMA Tundu Lissu (kulia)  Mchungaji Peter Msigwa (kushoto) na Godbless Lema (katikati)  ili waondoke  nje ya viwanja vya Bunge mara moja.

No comments:

Post a Comment