July 19, 2011

Victoria ajipanga kimaisha na Tigo

Victoria Shewari akipokea mfano wa hundi ya Tsh. Milioni tano mara baada ya kuibuka mshindi wa promosheni ya Jipange Kimaisha inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo. Kulia ni Aileen Meena kutoka Tigo. Katikati ni mtaalam wa viwango kutoka Tigo Pamela Shellukindo.

No comments:

Post a Comment