TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL 34.5 KWA VIJIJI 20 IFAKARA
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni y Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Mradi wa Maji Safi kwa Afya Bora Ifakara (MSABI), Dk. Honorathy Urassa (kushoto), mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni 34.5 za kusaidia awamu ya pili ya mradi huo. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki ni; Mshauri wa Miradi MaaluMU wa TBL, Phocus Lasway (wa pili kulia) na Mhandisi wa MSABI, Naomi Mg'endo.
No comments:
Post a Comment