July 24, 2011

Stellah Robert ndie Redds Miss Kinondoni 2011

Mrembo Stellah Robert usiku wa Julai 23,2011 ametawazwa kuwa malkia wa Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaanm katika shindano la kukata na shoka.Stellah pia alikuwa ni Miss Dar Indian Ocean.

No comments:

Post a Comment