July 24, 2011

Soko la Tangamano mjini Tanga liangaliwe

Leo nilipata fusra ya kuzunguka kidogo katika mji wa Tanga, na miongoni mwa maeneo machache niliyopita mcahan huu ni pamoja na katika soko dogo la Tangamano, soko hili linaonekana kuhudumia idadi kubwa ya wakazi wa Tanga. 

Lakini licha ya umuhimu katika soko hilo lakini miundombinu yake ikiwa ni pamoja na vibanda ni chakavu na si vibaya sehemu ya ushuru utumike kujenga mabanda ya kudumu ya bati ili kuondoa kero iliyopo hapo sasa.

No comments:

Post a Comment