July 24, 2011

Serengeti Fiesta Mkwakwani ni kazi tu hakuna Majotroooo.....!!!!

 Burudani kamili ya Serebngeti Fiesta 2011 ilianzia hapa leo hii, pale alipofungua pazia Adam Mchomvu "Papa John" ni usiku huu mambo yanaendelea Julai 24, 2011 katika uwanja wa Mkwawani mjini Tanga.
 jamaa walibadilishana mike...
 Rachel wa THT nae alihakikisha anabaki Tanga..
 Rich Mavoko ilifika zamu yake akatikisa vya kutosha.
 Mwana dada Daina kutoka Mji Kasoro Bahari Morogoro akiimba na shabiki jukwaani
 Chris wa Malya akishambulia jukwaa
 Makomandoo wa THT wakishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta mjini Tanga.
Mzee wa kuchanganya nyimbo nae alifanya kazi yake ipasavyo Beka alikamua.

No comments:

Post a Comment