July 31, 2011

Serengeti Fiesta 2011 Dar we acha tu!!

 Hakika asikwambie mtu usiku huu katika viwanja vya Lidaz Club jijini Dar es Salam hapatoshi katika usiku wa Serengeti Fiesta.
 Lina kutoka THT akikamua jukwaani
 Ni Nyomi la kupotea mtu mzima....
 Beka Boy nae kutokla jumba la vipaji alitoa mistari
 Huduma ya kwanza ipo kikamilifu na tatizo lolote tunakupa dozi
 Kutoka Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Serengeti Breweries (BL), Teddy Mapunda, Mkurugenzi wa Masoko, Epraim Mafuru na Mwanahabari na mdau wa Serengeti Fiesta Bakar Machumu.
 Ukiwaona hawa we sema Serengeti Lager baridi na utapata kinywaji fasta
 Niwasanii lakini ni wadau wa bloguzz
Ni moto tu unawaka Lidaz Club usiku huu. Picha zaidi za Serengeti Fiesta 2011 ingia hapa JIACHIE

No comments:

Post a Comment