Gari lililobeba mwili wqa Marehemu Danny Mwakiteleko lilishindwa kupanda mlima na kusukumwa kutokana na aina ya kifusi kilichokuwa kimewekwa hapo.
Wahariri wali
Tulifika salama katika Kitongoji cha Ipyera na kupokelewa na wenyeji wetu. Pichani ni Mjane wa Marehemu Danny, Winfrida akisaidiwa na jamaa.
Majonzi, masikitiko na vilio vilitoka kwa kila mtu kijijini hapo.
Mwili ilipelekwa nyumbani kwao Danny Mwakiteleko kabla ya kupelekwa Kanisani ibada na maziko.
Nimajonzi tu...
No comments:
Post a Comment