July 15, 2011

Pinda Dodoma

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka  inayosimamia  Mifuko ya Maendeleo ya Jamii (SSRA), Irene Isaka (kulia) na Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo, Lightness Mauki  kwenye  ukumbi wa mikutano wa Waziri Mkuu, Bungeni Mjini Dodoma Julai 14,2011.

No comments:

Post a Comment