July 16, 2011

Mfalme Tutu II wa Ashanti wazuru EAC na Mahakama ya Kimataifa

Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa akipokea nyaraka za Jumuia ya Afrika Mashariki kutoka kwa Katibu Mkuu wa Umoja huo Balozi Dr. Richard Sezibera wakati Mkapa na Mfalume wa Ashanti Otumfuso Osei Tutu II walipozuru ofisi za EAC mjini Arusha jana.Wapili kulia ni Nana Otuo Siriboe II kutoka Himaya ya Ashanti
Mfalme wa Ashanti Otumfo Osei Tutu II akiwa na Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Rwanda mjini  ArushaJaji Khalida Rachid Khan wakati alipotembelea Mahakama hiyo jana.

No comments:

Post a Comment