KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 21, 2011
Lukuvi akutana na Wabunge wa uganda Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi akizungumza na ujumbe wa Wabunge kutoka Bunge la Uganda kwenye ukumbi wa Waziri Mkuu, Bungeni Mjini Dodoma Julai 21, 2011.
No comments:
Post a Comment