Mdau Rajab Mchatta wa Big Solutions ya jijini Dar es Salaam ambaye pia aliandaa Miss Mtwara 2011akijipima kimo kwa Miss Tanzania 2010 Genevieve Emmanuel leo mjini Mrogoro lakini jamaa hakufua dafu.
Alipoona amekuwa mfupi sana alitafuta ukuta akapanda na mambo sasa yakawa hivi.
No comments:
Post a Comment