July 21, 2011

Chaka Khan kuwasha moto Blue Peal Jumamosi

 Mwanamuziki Chaka Khan akiwa amepozi kwa picha leo mchana na Mkurugenzi wa kampuni ya Clouds Media Group,Joseph Kusaga akiwa na Mkewe,Mkurugenzi wa kampuni bingwa ya burudani hapa nchini,Prime Time Promotions Ltd Juhayna Ajmi Kusaga pamoja na mtoto wao Natalia Kusaga .
Mwanamuziki Chaka Khan akiacha Chata lake kama ukumbusho wa pekee kwa Kampuni ya Clouds Media Group,huku baadhi ya Wafanyakazi wa kampuni hiyo wakishuhudia tukio hilo adhimu.
"hhhheeeeee yeeeeesssss...!"  Mwanamuziki Chaka Khan akigonga na Mtangazaji wa Choice FM,Thandi leo mchana alipokuwa akifanya nae mahojiano mafupi kuhusiana na onyesho lake litakalofanyika ndani ya Ubungo Plaza,July 23 kwa udhamini mkubwa wa Club E.

No comments:

Post a Comment