Waziri MKuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha, Naibu Waziri wa Utamaduni wa China, Bibi Zhao Shaohua kwenye ukumbi wa Waziri Mkuu Mjini Dodoma Juali 28, 2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Naibu Waziri wa Utamaduni wa China, Bibi Zhao Shaohua (kushoto kwake) kwennye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma baada ya mazungumzo yao Julai 28,2011. Kulia ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. William Nchimbi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Mtama, Bernad Membe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 28, 2011
No comments:
Post a Comment