April 01, 2011

NDC watoa pole kwa wananchi wa Japan

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC)  Gideon Nasari akikambithi Balozi wa Japan nchini Tanzania Hiroshi Nakagawa, michango wa wafanyakazi wa NDC kwaajili ya kuwasaidia waathirika wa tetemeko nchini Japan.
 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Shirika la Taifa la Maendeleo  Neema Chalila Mbuja akisalimiana na Balozi Hiroshi Nakagawa.
Mwenyekiti wa TUICO tawi la NDC, Bw. Ernest Mnzava akiagana na Balozi Hiroshi Nakagawa.

No comments:

Post a Comment