KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
April 03, 2011
Mbagala na majalala
Huku kwetu Mbagalaaaaaaa kila jalala linanukaaaaaa. Mkazi wa Mbagala akizibu pua kukwepa harufu kati iliyokuwa ikisikika kutoka katika rundo la taka eneo la Mbagala Dar es Salalaam.
Haya mazingira wananchi wenyewe ni wachafu vipi wanaweza kuishi katikati ya majalala namna hio, ni ndani ya mji si pembeni yake yani hii ni aibu kwa nchi yetu Tanzania, watu wa nchi zingine wakiona wanatucheka na kutuona kuwa sisi watanzania ni wachafu hatuna usafi kabisa.

ReplyDelete