January 05, 2010

Bomoa bomoa vingunguti

Bomoa bomoa ya Vingunguti hadi Barakuda yaja...Mhadinsi wa Manipaa ya Ilala Justine Magoda akipiga moja ya nyumba hizo alama ya X kuashiria kubomolewa kupisha ujenzi wa barabara hiyo kiwango cha lami.

No comments:

Post a Comment