December 01, 2009

Polisi amwagiwa kinyesi na kibaka

Askari kanzi ambaye alipakazwa kinyesi na mtuhumiwa wakati akimkamata katikati ya jiji la Dar es Salaam mchana wa leo.
Kibaka aliyempaka kinyesi askari akiwa chini ya ulinzi wa Askari kanzu.

1 comment:

  1. huyo kibaka ataomba akutane na osama bin laden kuliko kufika huko nanhii

    ReplyDelete