
Katibu wa Umoja wa Vijana wa UVCCM Mkoa wa Morogoro, Lucia Mwiru ( wapili kulia) akimnong’oneza Mwenyekiti mpya wa Chipukizi Mkoa wa Morogoro , Masuda Nassoro , jana ( Des 23) baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo na msimamizi wa uchaguzi , Pili Jabiri ( kushoto) ambaye ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa UVCCM toka Mkoa wa Morogoro pamoja na Kamati ya Utekelezaji Taifa .

Mjumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa Chipukizi wa UVCCM toka Wilaya ya Morogoro Vijijini kichama , Kasimu Hamis ( kulia) akitumbukiza kura yake kwenye sanduku la kura wakati wa kuwachagua viongozi wa Chipukizi Mkoa wa Morogoro jana ( Des 23) kwenye ukumbi wa ofisi ya CCM Mkoa huo.
No comments:
Post a Comment