
Mwandishi wa Michezo wa gazeti la Daily News, Abdalla Msuya juzi aliamua kuuaga ukapera na kufunga ndoa na Bi Zena huko Korogwe Mkoni Tanga na kufuatia wa Tafrija kubwa iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.

Ikunda Erick akitaniana na wifi yake...

Baadhi ya wafanyakzi na maharusi...

Akila snepu na mfanyakazi mwenzake...

Akipokea lawama za kuihama Club ya Makapera wa TSN (TBC) , kutoka kwa Makamanda wa TBC, Colins Mtita (kulia) na Nasongelya Kilinga.

Baadhi ya wafanyakzi waliohudhuria tafrijja hiyo katika picha ya pamoja na maharusi.
*****Tuma picha ya harusi yako nayo itarushwa bila wasi*****
No comments:
Post a Comment