September 06, 2009

Voda ya futarisha yatima Unguja

Yatima wa Unguja wakifuturu
Baadhi ya watoto yatima wakipakua chakula kwaajili ya futari iliyoandaliwa na Taasisi ya Vodacom Foundations mjini Unguja juzi. Vodacom

inaendelea na kampeni yake ya kufutarisha Watoto Yatima wanaoishi katika mazingira Magumu pamoja na kuwapatia zawadi mbalimbali nchini kote.

No comments:

Post a Comment