September 29, 2009

Tanzania sare na Afrika kusini

Timu ya Taifa ya Mpira wa Pete (Netiboli) ya Tanzania leo imelazimishwa sare ya bangili 31 kwa 31 dhidi ya Afrika ya Kusini katika mchezo wa Kimataifa wa mpira wa petre uliofanyika jioni hii Uwanja mpya wa Taifa Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment